Tuesday, March 13, 2012

NAPE NNAUYE AONYESHA UMAHIRI WAKE WA KUKUNG'UTA VYOMBO VYA MUZIKI NDANI YA AFROBEAT

Nape akikung'uta gitaa la solo
Asha Baraka(katikati) akiwa na Kijah kushoto na Imelda Mtema kutoka Global Publishers kulia.. Hapo mama Asha Baraka akifurahia kazi ya Nape

Kijah mutoto muzuri akifuatilia kwa umakini kabisa, burudani kutoka kwa Nape akishirikiana na baadhi ya vijana kutoka Twnaga pepeta
Nape Nnauye akipiga Drums katika kuonyesha kuwa ana vipaji Lukuki siyo mambo ya siasa tu yupo kamili kila Idara, kushoto kwake Msafiri Diouf akimuongezea mzuka kwa kuimba

Kama ambavyo nimeeleza hapo juu, Katibu mwenezi wa CCM Taifa Mh. Nape Nnauye akionyesha umahiri wake wa kupiga vyombo mbalimbali vya muziki katika ofisi za ASSET zilizopo kinondoni.

Hii ilikuwa niInterview maalum iliyoandaliwa na kipindi cha Afrobeat kinachorushwa kila Jumamosi saa moja jioni kupitia Eatv, Ting'a namba moja kwa vijana, tofauti na ilivyoandikwa na baadhi ya vyombo vingine vya habari kuwa ulikuwa ni mwaliko maalum wa Twanga pepeta.. Naomba ifahamike hivyo na usikose kuangalia Afrobeat Jumamosi hii ili uweze kuona uwezo wa Nape katika kupiga vyombo mbalimbali vya Muziki na kuimba pia.

No comments:

Post a Comment