Saturday, June 18, 2011

R.I.P ETHEL JAMES

Mtayarishaji wa vipindi vya E-NEWS na FRIDAY NITE LIVE vya EATV, ETHEL JAMES amefariki dunia JANA usiku katika Hospital ya AGA KHAN jijini Nairobi, Kenya.
Ethel amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda wa wiki tatu ambapo alianza kutibiwa katika Hospital ya TMJ jijini DSM. Amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 25. Mwenyezimungu ailaze Roho ya marehemu Ethel mahali pema peponi, AMEEN.

No comments:

Post a Comment