Tuesday, June 7, 2011

BHOKE KUREJEA BONGO KESHO JUMATANO

Mtanzania ambae alikuwa akiiwakilisha Tanzania katika BBA Amplified 2011 BHOKE EGINA anatarajia kuwasili nchini kesho jumatano. Bhoke alikuwa ni Mtanzania pekee ambae alibaki katika Jumba hilo baada ya mshiriki mwenzake kutoka TZ  LOTUS KYAMBA kuondolewa kwa kosa la kumpiga kibao mshiriki mwenzake LUCLAY kutoka South Africa...
  
Shindano hilo limechukua sura mpya wiki hii baada ya washiriki wawili kuondolewa kwa pamoja kwa mwaka huu, tofauti na ilivyokuwa wiki zilizopita ambapo mshiriki mmoja mmoja alikuwa akiyaaga mashindano hayo. Mshiriki mwingine ambae ameyaaga mashindano hayo ERNEST kutoka Uganda ambae inasemekana kuwa ni mpenzi wa Bhoke. 




No comments:

Post a Comment