| Vimwana wakionyesha uwezo wao wa kucheza moja kati ya style za Twanga pepeta walizoonyesha usiku huo |
| Vimwana wakiendelea kutupa kete zao kabla ya kuwapata 10 bora ambao watachuana katika hatua ya Fainali |
| Kijah mmoja kati ya waliokuwa Washerefeshaji wa siku hiyo |
| Kutoka kushoto ni Kijah, Mariah Soloma(mnenguaji wa twanga pia na Sauda mwilima(mtangazaji wa Bongo beat) aliyekuwa mshereheshaji mwenzangu siku hiyo |
| Kushoto ni Jaji mkuu wa manywele kimwana wa Twanga akitangaza majina ya walioingia 10 bora watakaopambana katika hatua ya Fainali |
| Wanenguaji wa Twanga Pepeta kisima cha burudani wakisindikiza mpambano huo |
| Mmoja kati ya Editors wa vipindi vya Eatv, Joseph Munthali (kushoto) akiwa na shabiki kulia wakifuatilia kinyang'anyiro hicho cha kumsaka kimwana |
| Vimwana walioingia katika hatua ya 10 bora katika picha ya pamoja wakiwa na majaji na mratibu wa shindano hilo Maimartha Jesse (mwenye nguo nyekundu) |
| Wafanyakazi wa Eatv nao wakiwakilisaha, Kutoka kushoto ni Wyclife Willy(EA Music Cordinator), Rehema Jarufu na Olympia Fraten |
No comments:
Post a Comment