Monday, June 6, 2011

5 SELECT EVENTS YA EATV IMERUDI TENAAA!!!!! Jiandae inakuja shuleni kwako...

Mjukuu wa Ambua jukwaani akisherehesha moja ya 5select events ktk Shule ya Sekondari Mbagala
Wanafunzi wa shule ya sekondari mbagala wakiangalia show kali kutoka kwa Dully Sykes mzee wa Bongo fleva
Kwa mbaali anaoneakana Cameraman wa ting'a la vijana Tawaqal akichukua picha  juu ya Stage kwa Chini ni baadhi ya wanafunzi



1 comment: