Thursday, January 10, 2013

LADY JAYDEE NA SAFARI YA KUELEKEA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO

Lady Jaydee kulia akiwa na baba mwenye nyumba Captain kushoto na Justin Bayow a.k.a Juss wa Maisha Plus na kaka mwingine simsomi.
Safari ikiendelea Jide mwenyewe akiongoza msafara hapo pembeni yake ni Juss
Haya tena
Picha ya pamoja
Komandooooo

Kwa taarifa zaidi kuhusiana na safari hiyo na nini kilichojiri safarini, usikose kuangalia Diary ya Lady Jaydee kupitia ting'a namba moja kwa vijana EATV, kila jumapili saa 3 usiku.

No comments:

Post a Comment