Friday, June 7, 2013

BAADHI YA PICHA ZA MAZISHI YA MSANII ALBERT MANGWEA HUKO MOROGORO

Rafiki kipenzi wa Mangwair (M2 THE P aliyeshikiliwa)ambae ndiye alikuwa nae huko South Africa mpaka dakika za mwisho na mauti kumkuta naye alikuwepo kwa ajili ya kuushuhudia kwa mara ya mwisho mwili wa rafiki yake.
Mheshimiwa Joel Bendera Mkuu wa Mkoa wa Morogoro nae alikuwepo na hapo akitoa neno lake
Kuna watu pia waliishiwa nguvu na kupoteza fahamu kutokana na msiba huo
Mheshimiwa Joseph Mbilinyi(Sugu) Mbunge wa Mbeya mjini nae pia alikuwepo kushuhudia mwili wa msanii mwenzake ukipumzishwa.




Umati mkubwa wa watu ulijitokeza katika mazishi hayo ili kuonyesha mapenzi yao kwa Mangwea.

Pumzika kwa Amani Brother, tulikupenda sana lakini Mungu kakupenda zaidi.

No comments:

Post a Comment