Wednesday, May 30, 2012

WASHINDI WA KTMA 2012 WAAHIDI KUFANYA MAAJABU KWENYE SHOW YA DAR JUNE 2

Kiongozi wa Bendi ya African Stars(Twanga pepeta) Lwiza Mbutu akizungumza na waandishi wa habari na kuahidi kuwa watapiga show ya ajabu ambayo haijawahi kutokea
George Kavishe Meneja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager akizungumza na wanahabari pamoja na wadau wa muziki wa kitanzania jana na kuwaalika kwenye Tamasha litaqkalofanyika katika viwanja vya Posta Sayansi jijini DSM Jumamosi hii June 2
Ikafika zamu ya Isha Mashauzi mkurya wa kwanza kuimba Taarab, nae pia ameahidi kufanya makubwa sanaaa kama kawaida yake, hivyo kama wewe ni shabiki wa Muziki wa Tanzania USIKOSEEEEEE!!!

No comments:

Post a Comment