Friday, May 11, 2012

MCHEZAJI WA ZAMANI WA MAN U QUINTON FORTUNE ATEMBELEA EATV & RADIO

Mchezaji wa zamani wa Manchester United Quinton Fortune akizungumza na waandishi wa habari wa Eatv na EARadio alipotembelea katika Studio hizo jana
Quinton (kulia) na Kijah
Quinton akiwa na mtangazaji wa Kipindi cha michezo cha Capital Radio, Master Tindwa

No comments:

Post a Comment