Tuesday, May 1, 2012

MAANDALIZI KABLA YA SHOOTING


Makeup inahusika zaidi kwenye screen, hapo makeup Artist wangu Irene Moshi akihakikisha natokelezea poa Runingani
Baada ya Makeup sound man Timothy Chelula (TC) nae akiplay party yake hapo akinifunga Mic ili mambo yaanze
Hapo mwenyewe nikajua niko sawa tayari kwa kuanza show, sasa subiri uone kilichotokea picha ya chini
Irene mwenyewe akasema hapana bado kuna kitu hakijakaa sawa ikabidi arudi kurekebisha... Nimejaribu kukuwekea hii ili uone tu mambo yanavyokuwa hadi kipindi kikamilike, siku nyingine nitakuwekea Production Team nzima leo nimekuonjesha tu

No comments:

Post a Comment