Wednesday, May 30, 2012

MAMBO YA KILI TOUR MTWARA


Hapo ndo tukidondoka pande za Mtwara nikiwa na Ommy Dimpoz
Mimi, Ommy D na Dullah
Marko Killo from Eatv, Kijah na Ommy Dimpoz
Baada ya kufika nikapita Safari Radio kusalimia washikaji, hapo nikiwa na DJ Mo wa Safari Radio
Tukaenda Makonde Beach Club kwa ajili ya Interview, Roma pichani mmoja kati ya wasanii waliokamua Mtwara hapo akisubiri Interview
Team ya Eatv kabla ya kuanza Interview Makonde Beach Club kutoka kushoto ni Abdallah Ngally napenda kumuita Anko, Allan Lyimo, Olympia Fraten, Marko Killo na Happy.
Happy na Ommy Dimpoz
Nikila upepo wa Msemo Beach Hotel
Kazi ikaanza ndani ya uwanja wa Umoja kabla ya Show kuanza tukapiga Link na kuongea na baadhi ya mashabiki waliofika

Hapo ilikuwa mapema sanaaa mida ya saa saba watu walikuwa wameshaanza kuingia
After Party at New Maisha Club Mtwara
Kutoka kushoto ni Allan Lyimo alikuwa nalalamika mwenyewe eti mtwara kuna baridi ikabidi tumtafutie huo mgolole, anayefuata Kijah, Dj Mackey na Happy!! Mengi mmeyaona kwa DJ Choka na Father Kidevu Blog ila picha kamili endelea kuangalia Ting'a namba moja kwa vijana Eatv, tutakuonyesha kila kilichojiri Mtwara

No comments:

Post a Comment