Thursday, May 3, 2012

BIG BROTHER AFRICA MWAKA HUU KUANZA MAY 6

Hii ni moja kati ya sehemu za Jumba la Big Brother mwaka huu ambayo itafahamika kama Big Brother Star game, inayotarajiwa kuanza May 6 mwaka huu huko Afrika kusini ambapo mwanamuziki J. Cole ataperform Live.
Show hiyo itakuwa ikionyeshwa masaa 24 kuanzia May 6 saa 3 usiku kwa muda wa siku 91 kupitia Channel 198 za DSTV.

No comments:

Post a Comment