Friday, May 11, 2012

AFROBEAT KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAMA DUNIANI-MAY 13

Hapo nikiwa on Set kwa ajili ya maandalizi ya Show yangu ya Afrobeat Jumamosi hii
Swagga zikiendelea, nikijiweka Fit kabla ya kuanza Show.. Dressed by Kim Ladies Wear Boutique Kinondoni kona ya kuelekea mwananyamala, mnakaribishwaaaa.
Kuelekea maadhimisho ya Siku ya mama duniani, kwa kutambua kuwa kuna wamama wengi Afrika ambao wamepata mafanikio na heshima kubwa sana katika jamii yao na Dunia kwa ujumla, ndani ya Afrobeat wiki hii tunazungumzia Historia ya mwanamama Yvonne machaka a.k.a Chakachaka kwa ufupi tu lakini pia tutaangalia yale machache ambayo ameyafanya kwa waafrika wenzake  hasa akina mama na watoto katika suala zima la afya kwa kutumia nguvu aliyonayo kama mwanamuziki pia kama Balozi wa Umoja wa mataifa katika kupambana na malaria.
Ni jumamosi hii saa moja jioni... USIKOSEEE!!!

No comments:

Post a Comment