Sunday, May 13, 2012

HAPPY MOTHER'S DAY

(Nikiwa na jembe langu na kipenzi changu Harrison) Nakupenda na najivunia sana kuitwa mama coz kuna watu wanatamani na hawajajaaliwa, namshukuru mungu kwa kunipatia kiumbe hiki.
Nani kama mama jamani?? jibu ni hakuna... Mpende mama yako, mjali na mthamini leo wakati yupo kwa sababu siku moja hatokuwepo na utatamani awepo ili umfanyie mambo mengi sanaaa ila itakuwa Too Late... Happy Mothers day wapendwa

No comments:

Post a Comment