|
Mwanamke kitenge babu hasa wa kiafrika |
|
Kwenye mazoezi pia wanawake tupo mwanamke unapaswa kujiweka fit |
Wanawake Live Season 2 inakuja hivi karibuni kaa tayari kuipokea, kama kawaida inaletwa kwenu na Joyce Kiria kupitia Ting'a namba moja kwa vijana (WANAWAKE LIVE, KUMKOMBOA MWANAMKE KIMAPINDUZI)
No comments:
Post a Comment