Monday, November 7, 2011

HII NDIYO FAIDA YA KUKARIRI!!

Vijana wawili katika harakati za kutafuta kazi, waliingia kwenye Interview ya kuongea, marafiki hao wawili walikuwa wakisaidiana katika mambo mbalimbali ya kimaisha walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri kichwani ili akitoka ampatie mwenzie majibu.

Kwa kuwa muda ulikuwa mdogo sana na watahiniwa walishagundua kuwa maswali yalikuwa yakijirudia basi yule jamaa aliyekuwa wa kwanza kuingia alipotoka akaamua kumpatia mwenzie majibu tu.

SWALI LA 1 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHEN WAS TANZANIA INDEPENDENCE?
JIBU LA BRIGHT STUDENT: IT WAS SUPPOSE TO BE 1960 BUT IT POSTPONED TO 1961 DUE TO MANY REASONS.
SWALI LA 2 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHO BROUGHT INDEPENDENCE?
JIBU LA BRIGHT STUDENT: SO MANY PERTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED IT.
SWALI LA 3 KUTOKA KWA MWAJIRI: IT BELIEVES THAT IN MARS THERE ARE LIVING THINGS,DO YOU BELIEVE?
JIBU LA BRIGHT STUDENT: SOME SAY YES,SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE STILL INVESTIGETING.

Sasa alipoingia yule kijana ambaye uwezo wake darasani haukuwa mzuri na kwa kuwa alikuwa amekariri majibu tu ilikuwa ni patashika humo ndani ya chumba cha Usahili.

SWALI LA 1 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHEN WERE YOU BORN?
JIBU LA STUDENT MJINGA: IT WAS SUPPOSE TO BE 1960 BUT POSTPONED TO 1961.
SWALI  KUTOKA KWA MWAJIRI: WHAT?!!!!!!!!!!! WHO IS YOUR FATHER BY THE WAY.
JIBU LA STUDENT MJINGA: SO MANY PERTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED IT.
SWALI LA 3 KUTOKA KWA MWAJIRI: OHHHHHH MY GOD! ARE YOU CRAZY?
JIBU LA STUDENT MJINGA: SOME SAY YES,SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE STILL INVESTIGETING.

Habari ndo hiyooo kukariri noumaaaaaaa!!!!!

No comments:

Post a Comment