Sunday, February 3, 2013

KITALE ALIPOCHUKUA JIKO LEO

Kitale akila kiapo chake hapo
Akiwa na wifi yetu, raha teleeeee
Furahi kaka hii siku huwa haijirudii ingawa una nafasi zingine tatu sasa ila ya kwanza ni ya kwanza tu
Amejua kuchagua kaka
Dogo Janja akiwakilisha Mtanashati Entertainment, namkubali sana huyu dogo yuko mstari wa mbele kwenye matatizo na furaha pia huwa anajitokeza mungu ampe moyo huo katika maisha yake yote, asibadilike.

Nakutakia kila la kheri katika maisha ya ndoa kaka mungu awape uvumilivu maana maisha ya ndoa yana mitihani yake ya yanahitaji uvumilivu wa hali ya juu.

SOURCE:http://bongomovietz.com

No comments:

Post a Comment