![]() |
| Baadhi ya wachezaji wa Twiga Stars wakipata maelekezo ya namna ya kuhariri vipindi mbalimbali vya Eatv, kutoka kwa mratibu wa vipindi wa Eatv Sophia Proches(mwenye nguo ya pink) |
![]() |
| Wakipata maelekezo kutoka kwa mmoja kati ya wahariri wa vipindi vya Eatv bw. Khalfan Mwinshehe |
![]() |
| Picha ya pamoja na mtangazaji wa 5sport ya Eatv Patric Nyembera na mtangazaji wa E-news Dominic Nyalifa |
![]() |
| Nikajiachia na Boniface Wambura Afisa habari wa TFF na Angetile Oseah Katibu Mkuu wa TFF |
![]() |
| Hillary Daud "Zembwela" akimuuliza swali Fatma Omary Nahodha msaidizi wa Twiga Stars |
![]() |
| Boniface Wambura akijibu swali la Zembwela katika kipindi cha Super Mix |
![]() |
| Mratibu wa Vipindi Sophia Proches akiendelea kutoa maelezo kwa Twiga Starsakiendelea, kushoto ni msoma habari wa Ea Radio Marygoreth Richard |
![]() |
| Maelezo yakiendelea anayeshuhudia Kulia ni mtangazaji wa 5Sport Patric Nyembera |
![]() |
| Mmoja kati ya wasoma habari mahiri wa EaRadia Mr. James akiteta jambo na Kocha Mkuu wa Taifa Stars Charle Boniface Wambura |
![]() |
| Mkurugenzi wa Radio One Stereo na Capital Radio Deogratius Rweyunga (wa kwanza kushoto) naye akielezea kuhusu urushwaji wa matangazo ya Radio One kwa wageni hao. |
![]() |
| Mkurugenzi wa ITV na Capital TV bwana Machairi Koigi akiewaeza wageni hao wa Twiga Stars namna matangazo ya Televisheni yanavyorushwa. |
![]() |
| Nasser Kingu akiteta jambo na mmoja wa wachezaji nyota wa Twiga Stars "Mwanahamis" wa kwanza kushoto na anayeshuhudia ni mwandishi wa Magazeti ya Nipashe Somoe Ng'itu |















No comments:
Post a Comment