![]() |
| Kabla ya kikao kuanza maana kama unavyojua waswahili hatuwezi kabisa kwenda na muda hivyo tuliowahi ikabidi tuwasubiri wenzetu ndo kikao kianze |
![]() |
| Tukasubiri wee ikabidi tuanze tu aliyechelewa atamuuliza jirani yake nini kimepita |
![]() |
| Kikao kikiendelea, lakini kaka Kabyemela hapo Busy na Simu mambo ya BBM haya jamani!!!! |
![]() |
| Sijui nini kilifurahisha hapo??? itakuwa Kabyemela tu huyo ndo alituchekesha maana ana vituko huyu kaka jamani... |
![]() |
| Mauzo huwa haya kosi kwenye kitu chochote, hapo tukiuza sura na Happy mmoja kati ya watu wanaofanya watu wa Eatv tupate mishahara huyu maana anakukuruka kutafuta wadhamini |
![]() |
| Marygoreth anapiga mkwara hapo asifotolewe eti watu wataiga Hair style yake, hahahhahha |
![]() |
| Haya mapouzi, Jozee a.k.a Kabyemela |









No comments:
Post a Comment