![]() |
| Safari ilianzia pale Mango Garden ambapo kulikuwa na burudani kutoka kwa Akudo Impact vijana wa masauti |
![]() |
| Nadine kikazi zaidi |
![]() |
| Anaitwa Ghaisa naye akituonyesha nyonga yake inavyoweza kufanya kazi |
![]() |
| Hapo akijinadi |
![]() |
| Huyu jamaa ni mdau mkubwa sana wa Akudo Impact kila Akudo wanapokuwa wakipiga show lazima na yeye utamkuta. |
![]() |
| Baada ya wanenguaji sasa ikafuata zamu ya |
![]() |
| Huyu nae ni mdau mkubwa sana wa Afrobeat na Akudo anaitwa Jamillah nae pia alituonyesha umahiri wake wa kucheza na utamuona ndani ya Afrobeat kupitia Segment ya Rusha roho |
![]() |
| Akiturusha roho |
![]() |
| Mdada kazini |
![]() |
| Rapa ya Akudo impact(Kanal Top) |
![]() |
| Warembo kazini |
![]() |
| Mussa Kondo Producer wa Afrobeat akijiachia na baadhi ya wanenguaji wa Akudo Impact |
![]() |
| Baada ya kutoka Mango garden safari ikaelekea Business Park hapo walikuwepo Mashujaa Musica, kama kawa tukaingia na kupiga kazi(Pichani juu ni Charles baba na Jado Field Force) |
![]() |
| Charles Baba akiwaongoza wanamuziki wenzake wa Mashujaa |
![]() |
| Rais mstaafu Jado Field Force |
![]() |
| Vijana kazini |
![]() |
| Naye pia yumo |
![]() |
| Kiongozi wa Mashujaa Musica Max kushoto na Mrembo hapo anaitwa Martha |
![]() |
| Kama kawaida tulifanya Interview na sauti ya Radi akizungumzia kuhusiana na Tungo zake na muziki wake kwa ujumla |
![]() |
| Charles Baba nae akielezea kuhusu Nyimbo anazotunga zinakuwa zinalenga nini hasa na suala la muziki kwa ujumla |
![]() |
| Mussa Kondo na Rajab Kimanyo kikazi zaidi |
![]() |
| Swagaaaaaaaaaa |

























No comments:
Post a Comment