![]() |
| Jumamosi kama kawa kama dawa tulitinga ndni ya Hunters Club Kinondoni ambapo kama kawaida Schengen Academy wanakuwa pale kwa ajili ya kutoa burudani kwa wapenzi wa maeneo hayo |
![]() |
| Mjomba Ngally kazini kuchukua kila tukio linaloendelea |
![]() |
| Vijana kazini |
![]() |
| Huyu ni muimbaji mpya kutoka Congo anaitwa Petii maana yake ni mdogo, jamaa ni mkali wa kuimba na kucheza yaani balaaaa |
![]() |
| Huyu dada wakati wote yeye anafurahi tuuu mwanzo mwisho |
![]() |
| Rapa wa Schengen, jamaa ni mkali sana ila bado tu hajapata umaarufu kama akina Totoo ze bingwa, Kanal Top na wengineo |
![]() |
![]() |
| Unamkumbuka huyuuu? Anaitwa Amina alikuwa mmoja kati ya washiriki wa manywele kimwana wa Twanga pepeta 2011 na kwa sasa yupo Schengen Academy anapiga kazi |











No comments:
Post a Comment