![]() |
| Bibi na Bwana Harusi |
![]() |
| Bibi Harusi Haika Samwel a.k.a Mrs Allan akiwa na mama mzaa chema |
![]() |
| Bwana harusi Allan Lucky (kulia) akiwa na mpambe wake Banan Zorro |
| Bibi harusi akila kiapo akishuhudiwa na mumewe pamoja na wapambe wao |
![]() |
| Kitu cha Twist kimekoleaaaa |
![]() |
| Nikiwa na mwenyekiti wa kamati, Mussa Kondo pamoja na mjumbe Zamzam Muhidin |
![]() |
| Msosi timeeee |
![]() |
| Eatv team Together tukiwakilisha pamoja na mkuu wetu wa vipindi, Lydia Igarabuza ambae amenyoa kama mimi |
![]() |
| Kwaitoooooooooooooo |
![]() |
| Big man Kim kutoka Eatv na Radio akisababisha burudani |
![]() |
| Ua likarushwa bwana na wadada tukajituma kulirukia kama unavyoona |
![]() |
| Hatimaye wifi yetu Augenia a.k.a Mrs TC mtarajiwa akalidaka ua na tumeambiwa kuwa ya kwao ni Novemba panapo majaaliwa |
![]() |
| Halima a.k.a Amallu, Rehema na mimi |
![]() |
| Yohana Set Designer wa Eatv (mwenye shati la draft akiongoza burudani kwa wanakamati) |
![]() |
| Kila mtu na mtu wakeeeee (Juu ni TC Soundman wa Eatv na wife wake mtarajiwa Augenia) |
![]() |
| Fred Libaba Editor wa kipindi cha ujenzi na Kurasa akiwa my wife wake |
![]() |
| Lucy nae mmoja wa wafanyakazi wa Eatv akiwa na shemejiiiiii |
![]() |
| Totoz za Lindi hizoo, mimi na mdogo wangu Rehema |
![]() |
| Zulianiiiii, juu ni TC na Rehema chini(Pendeza sana jamani) |
![]() |
| Mzee Zorro alitupa burudani ya nguvu akiwakilisha B-Band.. Mambo yote haya yalifanyika katika ukumbi wa Stallion Mikocheni |



























































