![]() |
Hapo ndo tukidondoka pande za Mtwara nikiwa na Ommy Dimpoz |
![]() |
Mimi, Ommy D na Dullah |
![]() |
Marko Killo from Eatv, Kijah na Ommy Dimpoz |
![]() |
Baada ya kufika nikapita Safari Radio kusalimia washikaji, hapo nikiwa na DJ Mo wa Safari Radio |
![]() |
Tukaenda Makonde Beach Club kwa ajili ya Interview, Roma pichani mmoja kati ya wasanii waliokamua Mtwara hapo akisubiri Interview |
![]() |
Team ya Eatv kabla ya kuanza Interview Makonde Beach Club kutoka kushoto ni Abdallah Ngally napenda kumuita Anko, Allan Lyimo, Olympia Fraten, Marko Killo na Happy. |
![]() |
Happy na Ommy Dimpoz |
![]() | ||
Nikila upepo wa Msemo Beach Hotel
|
![]() |
Hapo ilikuwa mapema sanaaa mida ya saa saba watu walikuwa wameshaanza kuingia |
![]() |
After Party at New Maisha Club Mtwara |
No comments:
Post a Comment