![]() |
![]() |
![]() |
Makeup inahusika zaidi kwenye screen, hapo makeup Artist wangu Irene Moshi akihakikisha natokelezea poa Runingani |
![]() |
Baada ya Makeup sound man Timothy Chelula (TC) nae akiplay party yake hapo akinifunga Mic ili mambo yaanze |
![]() |
Hapo mwenyewe nikajua niko sawa tayari kwa kuanza show, sasa subiri uone kilichotokea picha ya chini |
No comments:
Post a Comment