![]() |
Ukiingia tu Dar Live mbele yako unakutana na hili jengo, kama hupendi kukaa chini basi wapanda zako huko unakula upepo mwanana kabisa |
![]() |
Hii nayo ni moja kati ya vivutio vilivyopo Dar Live |
![]() |
Unapoingia tu maeneo ya mlangoni kabisa unakutana na warembo ambao hiyo unayoiona ndo kazi yao |
![]() |
Hapo dogo tayari ameshafanyiwa Makeup na watoto wanaenjoy wenyewe gharama yake ni buku tu(Tshs 1000) |
![]() |
Hii ndiyo Stage sasa na pia kuna Projector tatu kama unavyoziona |
![]() |
Nilikuwa na mdogo wangu wa mwisho pia, anaitwa Rahma |
![]() |
![]() |
Hii sehemu watu wengi sana inawavutia niliona watu wengi sana hasa wadada wakipiga katika eneo hilo |
![]() |
Mmoja kati ya marafiki zangu wa karibu sana anaitwa Salma a.k.a Diva wa ukweliiii |
Kuna mambo mengi sana ya kufurahia pande hizo za Dar Live hasa kwa watoto, michezo mbalimbali kama unavyoona kwenye picha
![]() |
Kitu cha Dar Live hichoooooooo, dogo akishuka kwenye ndege na huo ndiyo mwisho wa safari yetu kutoka Dar Live Mbagalaaaaaaa |
No comments:
Post a Comment