![]() |
Hapo kikapigwa kitu cha Facebook nikaanza kuimba mwenyewe |
![]() |
Huyu jamaa cjui anawaza nn maana anaonekana yuko mbaaaliii |
![]() |
Jamaa nahisi anahakikisha kama hiyo ni kweli Windhoek |
![]() |
Muda wa kucheza ukafika, mimi na Glory a.k.a pacha maana kuna watu walituambia tunafanana ikabidi nianze kumuita pacha bt mmh cna hakika maana mwenzangu kafungasha mashaallah |
![]() |
Ma boy Andy nae akiyarudi |
![]() |
Andy na Ally |
![]() |
Kijah na Ally |
![]() |
One luv |
No comments:
Post a Comment