| Naibu Waziri wa TAMISEMI (ELIMU) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Mh. Kasimu Majaliwa akizindua siku ya Michezo kwa shule za msingi Mkoani Lindi kwa kupiga Penalty |
| Mh. Majaliwa akizindua mchezo wa Netball kwa ishara ya kufunga goli |
| Mh. Majaliwa akisalimiana na wanafunzi wilayani Ruangwa |
| Wasanii nao hawakubaki nyuma katika kutoa burudani kama unavyoona pichani |
| Wananchi wa wilaya ya Ruangwa wakimsikiliza mbunge wao (hayupo pichani) alipokuwa akizindua siku ya Michezo kwa shule za msingi, hafla iliyofanyika katika shule ya msingi Likangara wilayani Ruangwa |
No comments:
Post a Comment