![]() |
| Kijah na mkubwa Fella katika Interview |
![]() |
| Baadhi ya wanawe Fella kulia ni Aslay ambae anakimbiza kwa sasa na wimbo wake naenda kusema huyo mwngine ndo yuko mbioni kutoka lakini yeye ni upande wa Taarabu |
![]() | |
| Hii picha haikuwa nzuri kwa sababu ya mandhari yenyewe, ni Leah Moudy na Band yake mpya ya Q-Band ambayo anaimiliki yeye na mchumba wake Siz -Q, nao pia utawaona kwenye Afrobeat Jumamosi hii. |




No comments:
Post a Comment