![]() |
Muandaaji wa shindano la Manywele kimwana wa Twanga MAIMARTHA JESSE kwa furaha akisubiri kutangazwa kwa mshindi |
![]() |
Mashabiki waliohudhuria siku hiyo pale UBUNGO PLAZA |
![]() |
Majaji wakifuatilia pambano kwa umakini mkubwa |
![]() |
Wanamuziki wa Bendi ya Twanga pepeta wakifuatilia mpambano kabla ya mshindi kupatikana |
![]() |
Kimwana aliyepita HUSNA IDD a.k.a SAJENT akimpongeza mshindi |
![]() |
Hii ndiyo TOP 3 ya Manywele kimwana wa Twanga |
![]() |
Mdada akiruka juu kwa kushangilia ushindi wa MARY |
![]() |
Mashabiki wakishangilia kwa kuonyesha alama ya namba mbili na dua zao zilipokelewa maana ndie aliyeondoka na ushindi |
![]() |
MAIMARTHA JESSE mratibu wa shindano hilo akimpongeza mshindi |
![]() |
MARY KHAMIS akionyesha umahiri wake mbele ya Majaji kabla ya kutwaa ushindi |
![]() |
MARIAM MWAKYOMA mmoja wa washiriki ambae ameshika namba nne akionyesha mbwembwe zake mbele ya Majaji |
![]() |
Mshindi wa Manywele kimwana wa Twanga pepeta 2011 MARY KHAMIS akihojiwa na Afrobeat ya EATV |
![]() |
Jaji mkuu wa Shindano AMOS MSANJILA akielezea namna kazi ilivyokuwa nzito mara baada ya kutangaza matokeo |
![]() |
Husna Idd a.k.a SAJENT Kimwana aliyepita akisubiri kumvisha Taji kimwana mpyaa |
![]() | ||
Hiyo ni TOP 6 ya Manywele kimwana wa Twanga pepeta wakitupa karata yao ya mwisho iliyomtoa mshindi.. |
No comments:
Post a Comment