| Ukifika tu Bongoyo unakaribishwa na hicho kibao |
| Kikubwa ilikuwa ni kwenda kurefresh mind zao tu lakini kama unavyojua picha zina raha yake kwa ukumbusho(Kama unavyoona brothers na Flowers) |
| The Only One Andreeewwww akifurahia maisha na kuongeza siku za kuishi |
| Hapo wakiwa kwenye BOAT kuelekea Bongoyo |
| Baada ya kufika BONGOYO wakafanya mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kupiga picha za ukumbusho, kama ambavyo unaona |
| Kila mtu na pozi lake ili mradi tu mambo yanaenda sawa |
No comments:
Post a Comment