![]() |
| Lady Jaydee kulia akiwa na baba mwenye nyumba Captain kushoto na Justin Bayow a.k.a Juss wa Maisha Plus na kaka mwingine simsomi. |
![]() |
| Safari ikiendelea Jide mwenyewe akiongoza msafara hapo pembeni yake ni Juss |
![]() |
| Haya tena |
![]() |
| Picha ya pamoja |
![]() | |
| Komandooooo Kwa taarifa zaidi kuhusiana na safari hiyo na nini kilichojiri safarini, usikose kuangalia Diary ya Lady Jaydee kupitia ting'a namba moja kwa vijana EATV, kila jumapili saa 3 usiku. |





No comments:
Post a Comment