![]() |
Wolper akiingia uwanjani kwa ajili ya pambano na Wema |
![]() |
Wema naye akiingia uwanjani kwa makeke |
![]() |
Mpambano ukaanza |
![]() | ||
|
![]() |
Mpambano kati ya Cheka na Kaseba haukufanyika kwa sababu Cheka alikataa kupigana kwa madai kwamba anayetaka kupigana nae hana kiwango cha kupigana na yeye |
![]() | |||
Umati wa watu waliojitokeza kwenye Tamasha hilo amablo liliandaliwa kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa mabweni ya wasichana vijijini.
|
No comments:
Post a Comment