![]() |
| Maelfu ya watu waliohudhuria katika shughuli ya kuaga mwili wa Steven Kanumba(Hapo ni wakati mwili wa mwrehemu ukiondoka Leaders na kuelekea makaburi ya kinondoni alipozikwa) |
![]() |
| Makamu wa Rais Dk Bilal akiongoza maelfu waliojitokeza kuuaga mwili wa Steven kanumba |
![]() |
| Mke wa Rais mama Salma Kikwete akiuaga mwili wa marehemu |
![]() |
| Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe nae akiuaga mwili wa marehemu |
![]() |
| Mbunge wa Mbeya mjini Mh. Joseph Mbilinyi(Sugu) naye akitoa heshima zake za mwisho kwa marehemu Steven Kanumba |
![]() |
| Askari wa jeshi la Polisi wakihakikisha hali inakuwa salama |
![]() |
![]() | ||||||||
| Watu walithubutu kupanda juu ya mti ili mradi waushuhudie mwili wa marehemu kanumba kwa mara ya mwisho |
| Nilikuwepo pia kwa ajili ya kuripoti yaliyokuwa yakiendelea kwenye mazishi hayo. |









No comments:
Post a Comment