![]() |
Show ilifanyika Nyumbani Lounge, hapo ndo nikiingia mdada |
![]() |
Baada ya kufika nikajoin na wadau wengine wakati tukisubiri Show ianze |
![]() |
Charles baba mwenye kofia naona yuko Busy mwenyewe cjui mambo ya BBM au anawaambia washikaji waje kuangalia Show.. Lol! |
![]() |
Meneja wa Mashujaa Musica Max anayekata maji na msaidizi wake Khamis |
![]() |
Kama kawaida show ikaanza kama unavyoona picha yenyewe inajieleza |
![]() |
Jado FFU Rais mstaafu |
![]() |
Kikazi zaidi |
![]() |
Big Boss Isaack Gamba na Salma Dakota kutoka Radio One Stereooo, hapo Lady Hanifa sijui alikuwa wapi |
![]() |
Wakinogesha mambo, maana bila hawa jamaa kusingekuwa na muziki ingawa hawavumi kama waimbaji wanavyovuma. |
![]() |
Malkia mwenyewe Lilyan Internet akapanda Stejini, hapo ndo wakati ameitwa kutoka huko alikokuwa amefichwa, baada ya kufika ndo akatengeneza Pozi hilo |
![]() |
Ikafika zamu ya Ally Akida nae pia akatambulishwa (pichani ni Charles Baba akimtambulisha Ally Akida, mwenye Gitaa) |
![]() |
Thabit Abdul na mpiga Gita mwenzake wakiwajibika |
![]() |
Mzuka ukawapanda sasa, yaani ilinogajeee walinifurahisha sanaaa |
No comments:
Post a Comment