| Hosts wa show hiyo maalum tulikuwa mimi (Kijah) kushoto na Deo kulia |
| Mmoja kati ya mafundi mitambo wa EATV Allan Lyimo akihakikisha mambo yanakwenda sawa |
| Timu nzima ya watayarishaji wa vipindi nao wakihakikisha kila kitu kinakwenda sawa |
| Baadhi ya wageni wetu wa siku hiyo, kutoka kushoto ni Joyce Kiria, Leyla Ledd ambae alimuigiza Salama J anavyotangaza na alipatia saaana, anayefuata ni Lucy kutoka ubalozi wa Uholanzi, Deo na Kijah |
| Baada ya kipindi kumalizika Team nzima tukapiga picha za ukumbusho maana show ilikuwa tight sanaaaaa |
| Mauzo yakiendelea |
| Nikianza kutaja majina hapa tutakesha jamani mniwie radhi |
| Mamaa wa wanawake Live nae akasema mmh na mimi nijisogeze japo kwa picha tuuu |
| Joyce na Deo wakafunga kazi na hadithi ikaishia hapooo |
No comments:
Post a Comment