Jamani siri ya kupendeza kwangu na hata wewe ukipenda pia pita pale AMINA'S DESIGN pande za Kariakoo mtaa wa PEMBA/KONGO...
Hapa nakuonjesha tu baadhi ya maujanja yaliyopo.........
![]() |
| Mambo ya Accesories ndo hayo ya kila aina ushindwe wewe tu.. |
![]() |
| Kitu cha Clutch hicho viko vingi vya kila ainana kila rangi ila km nilivyosema na nawapa hamu kidogo mengi zaidi utayapata baadae kidogo |
![]() |
| Coctail Ring za kumwaga na za kila aina kazi kwako tu waipenda ipi??? |
![]() |
| Hand bags pia ukipenda tena mambo ya mnyama km unavyojua kwa sasa ndo imerudi kwenye chati |
![]() |
| Jamani vumbi na jua la bongo kali yafaa pia uyahifadhi macho yako kwa kitu miwani |
![]() |
| Siku hizi wiggs si kwa waliokosa nywele tu hata wenye nywele hadi mgongoni nao aah wamo |
![]() |
| Kwa madada do ndo hivyo tena km mnavyoona jamani |
![]() |
| Msiopenda kubanwa pia msipate kisingizio mtahudumiwa pia |












No comments:
Post a Comment