TIGO WATOA VIFAA VYA NISHATI YA JUA KWA AJILI YA KUCHAJIA SIMU
Ofisa Masoko wa kampuni ya Tigo
Jacqeuline Nnunduma (kushoto) na Meneja Mradi wa Kampuni hiyo, Yaya
N'dojere pamoja na Ofisa Uhusiano Msaidizi wa Tigo, Mariamu Mlangwa
wakionyesha kifaa cha solar kinavyoweza kufanya kazi ya kuchaji simu
kwa njia ya nishati ya jua.
Ofisa masoko wa kampuni ya Tigo
Jacquline Nnunduma kushoto na Meneja Mradi wa Kampuni hiyo, Yaya
N'dojere wakionyesha kifaa cha solar kinavyoweza kufanya kazi ya
kuchaji simu kwa njia ya nishati ya jua.
Ofisa masoko wa kampuni ya Tigo Jacqueline
Nnunduma kushoto akionesha jinsi ya kifaa cha solar kinavyoweza kufanya
kazi kulia ni Meneja Mradi wa Kampuni hiyo, Yaya N'dojere.
No comments:
Post a Comment