DK. MAHANGA AIBUKA KIDEDE KATIKA KESI YA KUPINGA USHINDI WAKE KATIKA UCHAGUZI MKUU MWAKA 2010
Habari kutoka Mahakama kuu jijini Dar es salaam zinasema kuwa Mbunge wa Jimbo la Segerea kwa tiketi ya CCM, Dk. Milton Makongoro Mahanga(Pichani juu) ameshinda kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea mwenzake kupitia tiketi ya Chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) Bw. Fred Mpendazoe, kupinga ushindi wake katika Jimbo hilo la Segerea wakati wa uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010.
Dk. Makongoro akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya hukumu kutolewa
No comments:
Post a Comment