| Anna, mlezi wa watoto hao pamoja na watoto wenyewe... Watoto hawa bado wanahitaji msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo magodoro, vitanda na chakula hivyo kama unahitaji kutoa msaada waweza kuwasiliana na wahusika kwa namba hizi 0757 855858 na 0655 855858. |
No comments:
Post a Comment