| Imefunguliwa kuwa baada ya Wema kupiga simu na 'kulia lia' kwa mkwe kuwa atakunywa sumu,Mama Mkwe aliwaita Wema na Diamond na wajomba zake nyumbani kwake,ili wazungumze na baada ya mvutano wa muda mrefu,wajomba na Mama walikomaa Diamond alinywea akasalimu amri mbele ya wakubwa na kurudiana na lovi-davi wake aliye-make sana headlines kwa kutoka na Ma-Star wa bongo kuanzia....Steven Kanumba, Charles Baba,Hartmann Mbilinyi na Jumbe Yusuf. |
No comments:
Post a Comment