| Akizungumza na Blog hii muandaaji wa Show hiyo Kali Suleiman Semunyu amesema wana Bongo Fleva hao watakaoangusha Show na Mapacha Watatu ni ALLY KIBA alietamba na vibao vikali km Mac Mugan, Cinderella, Hands across the World alioshirikiana na wakali kibao akiwemo R-KELLY na nyinginezo. |
No comments:
Post a Comment