| Bella ameongeza kuwa mashabiki wasisikilize maneno hayo ambayo hata yeye (BELLA) hajui yametokea wapi na wakae tayari kupokea nyimbo zao mpya zikiwemo umejificha wapi na umefulia ambazo zinatamba katika vituo mbalimbali vya Redio hapa nchini..... ILI KUZISIKIA NYIMBO HIZO, FUATILIA AFROSUNDAY YA EAST AFRICA RADIO KILA JUMAPILI SAA 12 KAMILI JIONI | |
|
|
|
|
No comments:
Post a Comment